Analyse @ElimikaWikiendi's tweets
@ElimikaWikiendi
| 74,070 followers
Mzunguko wa siku za hedhi kwa wanawake ni jambo ambalo huwa halizungumzwi hadharani katika jamii nyingi Afrika kutokana na imani za kidini ama kitamaduni. Vivyo hivyo, Ushiriki wa wanaume katika suala la hedhi kwa msichana nchini huwa na pande mbili|#MHDay2020|#PeriodsInPandemics https://t.co/4EMuxQAdea