Analyse @lifeofmshaba's tweets
@lifeofmshaba
| 416,678 followers
“Katiba ya Tanzania ibara ya 13”ni marufuku kwa sheria na mamlaka yoyote kuweka sharti lolote la ubaguzi kwa dhahiri ama kwa taathira” kitendo cha mamlaka kupinga watoto wa kike kuendelea na masomo ni kukiuka katiba ya nchi”. @KumbushoDawson #ArudiShule #ElimuBilaUbaguzi https://t.co/oLwG7zpka4