Analyse @wizara_afyatz's tweets
@wizara_afyatz
| 225,443 followers
Nchi yetu imepiga hatua kubwa na kupata mafanikio katika mapambano dhidi ya malaria ambapo kiwango cha maambukizi ya Malaria kimepungua kwa karibu asilimia 50, kutoka asilimia 14.8 mwaka 2015 hadi asilimia 7.3 mwaka 2017. Hii ni kutokana na takwimu za matokeo ya Utafiti. https://t.co/GBHE91dlIw