Analyse @VitusNkuna's tweets
@VitusNkuna
| 87,523 followers
Afisa Habari wa BAVICHA Mkoa wa Morogoro Miss.#LILIAN_TESHA amekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro
Mda Mfupi baada ya Kesi yake ya Awali kufutwa na Mahakama.
Alikamatwa tena na Polisi na kupelekwa Kituo kikubwa cha Polis Morogoro.
#FreeLilian_Tesha https://t.co/kEeGC8IBF6