Analyse @darmpya_'s tweets
@darmpya_
| 402,150 followers
Waziri wa @wizara_afyatz @umwalimu amezindua zoezi la ugawaji wa vyandarua vyenye dawa litakaloratibiwa katika mikoa 10. Ugawaji huu utafanyika kwa awamu tatu kupitia Bohari Kuu ya Dawa (MSD) ambapo awamu ya kwanza itanza na Mikoa ya nyanda za juu kusini. https://t.co/OuQh4v8bhR