Analyse @Twaha_Mwaipaya's tweets
@Twaha_Mwaipaya
| 276,925 followers
Huyu ni Elias Nturuhungwa DED wa halmashauri ya mji wa Tarime, Ambae kuna video ya binti huyu pichani inasambaa mtandaon ikimtuhumu kumbaka na kumtishia kifo, tunaitaka mamlaka husika kuchukua hatua za kisheria haraka iwezekanavyo ili bint huyu apate hak yake
#TunasimamaNaBinti https://t.co/PYkd0vL6ZQ
#TunasimamaNaBinti https://t.co/PYkd0vL6ZQ