Analyse @koncept_tv's tweets
@koncept_tv
| 24,657 followers
Waziri @umwalimu amekabidhi gari iliyotolewa na @wizara_afyatz itakayotumika kuratibu shughuli za Malaria za Mkoa wa Songwe. Gari hilo limekabidhiwa kwa Katibu Tawala wa Mkoa huo Bw. David Kafulila wakati wa uzinduzi wa ugawaji wa vyandarua kwa kila kaya Wilayani Chunya. https://t.co/xgKEhYTgic