Analyse @InfoLifeTz's tweets
@InfoLifeTz
| 2,395 followers
Vivyo hivyo ushiriki wa wanaume katika suala la hedhi kwa msichana nchini Tanzania lina pande mbili, baadhi wanaunga mkono na wengine wanapingana nayo na kuona kwamba ni suala la siri.#MHDay2020 https://t.co/PPRnlJyhlT