Analyse @InfoLifeTz's tweets
@InfoLifeTz
| 2,395 followers
Ushiriki wa wanaume bado ni mdogo sana kwenye swala la hedhi,jamii inapaswa kutambua kuwa wanaume kushiriki katika hedhi salama ni jambo la kawaida tu, kwa kuwa kwenye familia au shuleni watoto wa kike wanahitaji msaada kutoka kwa baba na mwalimu pia hata wa kiume. #MHDay2020 https://t.co/8w6X4JW63F