Analyse @Hakingowi's tweets
@Hakingowi
| 443,082 followers
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), Rais mstaafu Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ameushukuru uongozi wa chuo Kikuu cha Dar es Salaam kukamilisha utaratibu kuhakikisha hosteli za Magufuli kuwa salama kabla ya wanafunzi kufika Chuoni hapo Juni 1 mwaka huu https://t.co/l3puGBZrNk