Analyse @jacksonmnyawam2's tweets
@jacksonmnyawam2
| 27,701 followers
Ndugai Kortini Kwa Tuhuma Za Uvunjaji wa Katiba ya Nchi
Kesi namba 12/2020 inayomkabili Spika, Job Ndugai imepangwa kuanza kusikilizwa Katika Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ya DSM mnamo Juni 3 mwaka huu kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa saba mchana. https://t.co/7uBe1vH97B