Analyse @DrMabula's tweets
@DrMabula
| 347,876 followers
Ubunifu wa face shield (kinga uso) uliofanywa na @ZaidiRecyclers ni wa kimataifa na wameweka bei rafiki kabisa kwa 4000 tu unapata moja, hata mikoani unatumiwa. Inazuia uwezekano wa kuambukizwa maradhi ya njia ya hewa kama #COVID19. Piga 0712778076 kwa maelezo zaidi. https://t.co/w4t1D2rwvJ