Analyse @TibaFasta's tweets
@TibaFasta
| 22,415 followers
Nyanya zina kiwango kikubwa cha Vitamini C na virutubisho vingine ambavyo hufanya kazi ya kusafisha mwili na kutoa sumu pia. Kutokana na virutubisho hivyo nyanya husaidia kuharibu viini (free radicals) ambavyo hupelekea kutokea kwa saratani. #TibaFasta https://t.co/o2fG3WbYly