Analyse @koncept_tv's tweets
@koncept_tv
| 24,657 followers
Rais Mstaafu, Dkt. @jmkikwete ateuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Taasisi ya Nutrition International ya Nchini Canada inayoshughulika na kutokomeza upungufu wa virutubisho na madini katika nchi zinazoendelea. https://t.co/LIvnJYCwq4