Analyse @millardayo's tweets
@millardayo
| 2,591,736 followers
Derek Chauvin, Polisi ambaye alionekana kwenye video akiwa amemkanyaga kwa goti shingoni Mmarekani mweusi George Floyd, hadi kupelekea kifo chake, amekamatwa na kushtakiwa kwa mauaji na pia kwa kuua bila kukusudia. “alimkanyaga kwa DK 8 na sekunde 46”
#MillardAyoUPDATES https://t.co/spscRXA1os
#MillardAyoUPDATES https://t.co/spscRXA1os