Analyse @FestoNgadaya's tweets
@FestoNgadaya
| 33,132 followers
Expire date iliyo kwenye chupa ya maji ni tarehe ya mwisho wa matumizi ya chupa sio maji. Ndio, unatakiwa kuzingatia sababu chupa inapofikia ukomo wa matumizi inaweza kutoa kemikali kwenye maji, Kemikali ambayo inaweza kukuathiri afya yako. #ElimikaWikiendi https://t.co/DbpZP70b9w