Analyse @RahmaMwita's tweets
@RahmaMwita
| 64,684 followers
Leo Mh Selemani Jafo waziri wa nchi ofisi ya Raisi @ortamisemi na Mbunge wa Kisarawe akiambatana na Mkuu wa wilaya ya Kisarawe @jokateM watafanya ziara ya ujenzi wa shule ya kwanza ya Bweni ya Wasichana Kisarawe ??Shule hii ni lengo kuu katika kampeni ya #Tokomezazerokisarawe. https://t.co/NMu45lNpzN