Analyse @Dexter_insure's tweets
@Dexter_insure
| 305 followers
Excess ni nini?
Huu ni Mchango wa lazima kwa kila mteja aliyepata hasara,kwa ajili ya kuchangia sehem ndogo ya Hasara,inamfanya mwenye Mali awe Sehem ya jukumu la kujali na kutunza mali yake kana kwamba Hana bima,pia inapunguza madai mdogo madogo #ElimikaWikiendi #Elimubima https://t.co/7zRIjWUWkv