Analyse @SerengetiPost's tweets
@SerengetiPost
| 3,420 followers
#MAREKANI: Jimbo la Georgia latangaza hali ya hatari kufuatia maandamano yanayoendelea kupinga mauaji ya #GeorgeFloyd.
Majiji 20 nchini humo yanakabiliwa na maandamano yanayohusisha uvamizi wa maduka.
Askari Polisi aliyemuua Floyd anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji. https://t.co/5S07uhdS5H