Analyse @DosaRahma's tweets
@DosaRahma
| 147,741 followers
Ni Ipi nafasi ya Influencer (Mlaghibishaji) Katika kukuza Chapa (brand) ya biashara? Leo tunavuka Boda kuanzia Saa moja usiku Hadi tatu usiku tutakua na Wapwa kutoka Kenya, Rwanda na Tanzania, kwa pamoja tutajidili juu ya hili, Notification Weka On na Pitia hapa #WapwaTuinuane https://t.co/BWAEysMO82