Analyse @UNICEFTanzania's tweets
@UNICEFTanzania
| 104,300 followers
.@UNICEFTanzania pamoja na TAMISEMI na @wizara_afyatz tunafanya kazi kuhakikisha ufunguzi salama wa shule kabla ya wanafunzi kurudi ili kudhibiti maambukizi ya #COVID19 na kuhakikisha kwamba Taasisi za Elimu zinabaki kuwa sehemu huru dhidi ya #COVID |#ElimikaWikiendi https://t.co/pyQLid7Q8H