Analyse @millardayo's tweets
@millardayo
| 2,591,736 followers
Ikulu ya Marekani jana ilikuwa kwenye Lockdown kwa saa kadhaa (hakuna kuingia wala kutoka) baada ya waandamaji kufika karibu na Ikulu hiyo na kuendeleza vurugu wakipinga ukatili aliofanyiwa George Floyd hadi kupelekea kifo chake, bado ulinzi umeimarishwa. https://t.co/jdJmIaF0bt https://t.co/0loM2uzz1T