Analyse @UNICEFTanzania's tweets
@UNICEFTanzania
| 104,300 followers
Walimu na wanafunzi pia wanahitaji kuhakikisha kuwa umbali wa kijamii na wa kimwili inazingatiwa wakati wote shuleni. Kuchangia vitu kama vile sare za shule, kalamu, mashuka na vifaa vingine vya kujisomea na vya nyumbani sharti kupunguzwe ama kuepukwe kabisa |#ElimikaWikiendi https://t.co/fystGh6T5n