Analyse @UNICEFTanzania's tweets
@UNICEFTanzania
| 104,300 followers
Mmlaka za shule wanahitaji kuwahakikishia wanafunzi, walimu na wafanyakazi wao uvaaji wa barakoa wakati wote kwenye majengo yoyote ya shule ama vyuo. Kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum, walimu wanapaswa kuvaa barakoa maalum |#ElimikaWikiendi https://t.co/Fa7noSwRrr