Analyse @UNICEFTanzania's tweets
@UNICEFTanzania
| 104,300 followers
Kwa wazazi wenye watoto ambao bado wanajifunza wakiwa nyumbani endeleeni kutumia muda huu kuwapa usaidizi watoto wenu katika masomo yao. Mfikie mwalimu wa mtoto wako ikiwa unahitaji msaada, Hakikisha kuwa wana vitabu vya kutosha na madaftari ya mazoezi|#ElimikaWikiendi https://t.co/yutfaSgn8x