Analyse @UNICEFTanzania's tweets
@UNICEFTanzania
| 104,300 followers
Wazazi pamoja na walimu hawana budi kuhakikisha mpito laini kwa wanafunzi wanaorejea shuleni. Bado tunapitia nyakati ngumu, Lakini usisahau kwamba tuko pamoja katika hili. Ni jukumu letu sote kuhakikisha kuwa #KwaKilaMtoto, Mazingira salama ya kujifunzia |#ElimikaWikiendi https://t.co/9V3TH7YG6s