Analyse @tbconetanzania's tweets
@tbconetanzania
| 106,137 followers
#MagufuliChamwino
Rais Dkt Magufuli amewakabidhi marais wastaafu tausi 25 kila mmoja ambapo Mama Maria Nyerere amepokea ndege hao kwa niaba ya Mwalimu Julius Nyerere. Viongozi hao wamepewa tausi ikiwa ni ishara ya kutambua namna walivyowatunza wakiwa wakiwa madarakani. https://t.co/34zZVftAIL