Analyse @humanrightstz's tweets
@humanrightstz
| 107,614 followers
Dhamana ni Haki ya kila mshitakiwa isipokuwa kwa makosa yasiyokuwa na dhamana. Hata hivyo, @tanpol na @judiciarytz imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya watu kutokutimiza takwa hilo la kisheria.
Nini maoni yako kususu uwajibikaji wa mamlaka hizo?
#ElimikaWikiendi #UtawalaWaSheria https://t.co/PSf06IlZb1
Nini maoni yako kususu uwajibikaji wa mamlaka hizo?
#ElimikaWikiendi #UtawalaWaSheria https://t.co/PSf06IlZb1