Analyse @humanrightstz's tweets
@humanrightstz
| 107,614 followers
Kwa mujibu wa Jaji Mkuu, makosa yote yawe na dhamana, kama ilivyo kwa nchi jirani ya Kenya, huku Mhimili wa Mahakama ukiachwa kufanya maamuzi ya mwisho kuhusu utoaji wa dhamana.
#ElimikaWikiendi #UtawalaWaSheria https://t.co/IBSs006CxT
#ElimikaWikiendi #UtawalaWaSheria https://t.co/IBSs006CxT