Analyse @TumainiMakole's tweets
@TumainiMakole
| 13,103 followers
VALPROIC ACID
Ni dawa mojawapo ambayo hutumika kutibu kifafa na baadhi ya matatizo kama bipolar disorder na migraine. Dawa hii inaweza kusababisha matatizo ya kuzaliwa kama matatizo ya moyo, mdomo sungura (cleft lip) na mgongo wazi.
#ElimikaWikiendi | @ElimikaWikiendi https://t.co/NvJhCKUX4v