Analyse @MustaphaBurhani's tweets
@MustaphaBurhani
| 9,212 followers
Mataifa matatu Leo yanaenda kukutana kujadili kwa pamoja " Nafasi ya walaghabishaji Katika kukuza Chapa kibiashara" kutoka Tanzania tutakua na @Lai_Agency Kenya @janetmachuka_ na Rwanda @kagire kuanzia Saa moja usiku Hadi tatu usiku kupitia Hashtag yetu Pendwa #WapwaTuinuane https://t.co/MM7F0cxGY5