Analyse @DosaRahma's tweets
@DosaRahma
| 147,741 followers
Wapwa wakijipiga Msasa wa Kizungu, kwa ajili ya Mjadala wa Leo jioni wa "Nafasi ya Digital Influencers (Walaghabishaji) kwenye kukuza Chapa (Brand) ya biashara" Hii Ni mada muhimu Sana kwa Wapwa na upcoming Digital influencers tunaotaka kuwa akina @MarekaMalili #WapwaTuinuane https://t.co/hrmqTnJXso