Analyse @swahilitimes's tweets
@swahilitimes
| 1,408,140 followers
Magari yanayotoka Kimara kwenda mjini (Posta/Kariakoo) na yanayota mjini kwenda Kimara yameanza kutumia barabara ya juu katika eneo la Ubungo, Dar es Salaam. Mradi huo (Ubungo Interchange) hadi kukamilika utagharimu TZS 200.7B. https://t.co/qmejWBrxeM