Analyse @tonyalfredk's tweets
@tonyalfredk
| 28,341 followers
Ni mtaalamu wa kilimo, umeamua, utengeneze content mbalimbali Youtube kuwasaidia wakulima kwenye kilimo cha kisasa.
Ili uweze kuweka content zako Youtube, unahitajika kuilipa serikali laki 6 kwanza kwaajili ya leseni, vinginevyo adhabu ya kifungo au faini ya Milioni 5 inakuhusu https://t.co/qT7HXDm2Ui