Analyse @tonyalfredk's tweets
@tonyalfredk
| 28,341 followers
Mmeamua muweke mawaidha ya msikiti wenu Youtube au kutengeneza podcast kwaajili ya kuwafikia wengi zaidi.
Mtahitajika kuilipa serikali laki 6 kwajili ya leseni au adhabu ya faini Tshs. 5,000,000 au kifungo. https://t.co/y9oIEHQTpy
Mtahitajika kuilipa serikali laki 6 kwajili ya leseni au adhabu ya faini Tshs. 5,000,000 au kifungo. https://t.co/y9oIEHQTpy