Analyse @tonyalfredk's tweets
@tonyalfredk
| 28,341 followers
Umechoka kukutana na udaku tu Youtube,ni mtaalamu una uzoefu wa biashara, ukaamua utoe elimu ya ujasiriamali Youtube,kuwawezesha vijana kujiajiri na kuwapa nyenzo za kufanikiwa kwenye biashara.
Utahitajika kuilipa serikali laki 6 kwaajili ya leseni au La, kifungo au faini ya 5M https://t.co/P3C0FI1IAP
Utahitajika kuilipa serikali laki 6 kwaajili ya leseni au La, kifungo au faini ya 5M https://t.co/P3C0FI1IAP