Analyse @IAMartin_'s tweets
@IAMartin_
| 473,450 followers
Bwana @hpolepole katika jisongi hili la TMK WANAUME FAMILY linaloitwa "Ndio Zetu" kuna maneno kutoka kwa Juma Kassim 'Nature' Kiroboto yanasikika ➡ "HAPA KAZI TU". Hivi ninyi CCM mliwalipa hawa TMK kwa kutumia maneno hayo kwenye kampeni za Urais 2015? KAUSHENI. https://t.co/BDZrjRuAPX