Analyse @Kasilo_Honester's tweets
@Kasilo_Honester
| 21,336 followers
KAMPENI YA KILIMO FURSA
Kuelekea maadhimisho ya sikukuu ya wakulima nanenane 2020 shirika la Tanzania Smart Minds Organization (TASMI) linawaletea kampeni ya mtandaoni ya kuhamasisha vijana kujihusisha na shughuli za kilimo ili kukuza uchumi wao na taifa kwa ujumla.
#KilimoFursa https://t.co/n50jY9X4QI