Analyse @amos_mgonja's tweets
@amos_mgonja
| 1,182 followers
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinnduzi @ccm_tanzania Na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @MagufuliJP Leo kwa Kujiamini kabisa baada ya Kulipa Alichoahidi Watanzania amefika ofisi za NEC Kuchukua fomu kuomba ridhaa tena Kuwatumikia Wananchi Wa Tanzania kwa miaka mingine 5 https://t.co/l3DA6R6xOy