Analyse @azamtvtz's tweets
Mwenyekiti wa @ccm_tanzania na mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, @MagufuliJP akiambatana na mgombea mwenza @SuluhuSamia amechukua fomu ya kugombea urais katika ofisi za makao makuu ya @TumeUchaguziTZ (NEC) jijini Dodoma.
#UchaguziMkuu2020 #Uchaguzi2020 https://t.co/vRjLwHtyFl
#UchaguziMkuu2020 #Uchaguzi2020 https://t.co/vRjLwHtyFl