Analyse @TasmiTanzania's tweets
@TasmiTanzania
| 1,162 followers
Kwa mujibu wa sera ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2007, kijana ni mtu mwenye umri wa kati ya miaka 15-35. Takwimu za sensa na makadirio ya idadi ya watu yanaonyesha asilimia 67 ya nguvu kazi nchini Tanzania ni vijana.
#KilimoFursa https://t.co/XrXNf3Y7oU
#KilimoFursa https://t.co/XrXNf3Y7oU