Analyse @YSinongo's tweets
@FKagosso @millardayo @MagufuliJP Yeah nikweli ninyi mmefaidika, sisi tuliobaguliwa katika utawala wake hatujafaidika na yeye hata kidogo, kwahiyo hatuna sababu ya kumchagua, maana ni mbaguzi wa waziwazi. Watanzania hatuna roho za kibaguzi kubaguana kwasababu za vyama, dini, ukabila au rangi https://t.co/TWlpcBbGu3