Analyse @TZMsemajiMkuu's tweets
@TZMsemajiMkuu
| 721,109 followers
Mahojiano na @Dodomafmradio leo Agosti 6, 2020, nimesisitiza kuwa miaka mitano hii Serikali ya Dkt. @MagufuliJP imechagiza kwa kasi hatua zilizofikiwa na serikali zilizopita na kuongeza utekelezaji leo tumeingia uchumi wa kipato cha kati.
#MiakaMitanoYaKazi https://t.co/wpPM7OgeDh
#MiakaMitanoYaKazi https://t.co/wpPM7OgeDh