Analyse @Hakingowi's tweets
@Hakingowi
| 443,082 followers
Rais na M/kiti wa CCM Dkt. @MagufuliJP akiwa ameshika Begi lenye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais kupitia CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba,2020 na Mgombea Mwenza Makamu wa Rais @SuluhuSamia baada ya kuchukua Fomu hizo katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Leo https://t.co/6yXQSel23m