Analyse @koncept_tv's tweets
@koncept_tv
| 24,657 followers
#Uchaguzi2020; Rais na Mwenyekiti wa CCM Mh @MagufuliJP akikabidhiwa Begi leye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais kupitia Tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma. https://t.co/IgCzlwGLYJ