Analyse @JohnieZeBest's tweets
@JohnieZeBest
| 48,663 followers
Mkakati wa kitaifa wa ushiriki wa vijana katika kilimo (NSYIA) 2016 una malengo yafuatayo
>upatikanaji wa Ardhi kwa ajili ya kilimo na uwekezaji katika miradi ya kilimo
>Upatikanaji wa mitaji ili vijana waweze kuwekeza katika kilimo
#KilimoFursa
Cc: @TasmiTanzania https://t.co/8o4GO6qmnq