Analyse @fredrickjustne's tweets
@fredrickjustne
| 56,639 followers
Napenda kutoa shukrani zangu kwa uongozi wa BAVICHA Mkoa wa KILIMANJARO kwa kuniteua kuwa Afisa Habari na Mawasiliano, Nimepokea kwa mikono miwili, nitaitumikia nafasi hiyo kwa ari na uchu mkubwa wa kukisaidia CHAMA chetu katika mkoa na Kanda kwa ujumla. #PeoplesPower ??✌️ https://t.co/nyBb3jWls6