Analyse @JiniKinyonga's tweets
@JiniKinyonga
| 25,483 followers
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni chombo kinachopaswa kutoa taswira sahihi ya uwepo na ukomavu wa demokrasia katika Taifa lolote lile linaloamini katika demokrasia, utawala wa sheria na katika dhana nzima ya mgawanyo wa madaraka. #TumeHuruYaUchaguzi #88Nyeupe https://t.co/6AJLfMzaOF