Analyse @JiniKinyonga's tweets
@JiniKinyonga
| 25,483 followers
Uwepo wa Tume Huru itakayosimamia majukumu yake bila kuonesha dalili zozote za upendeleo itaongeza uwajibikaji wa wanasiasa na vyama vya siasa kwa kujikita katika ushindani wa sera na utekelezaji wa ilani kuwawezesha kuwabakisha madarakani. #TumeHuruYaUchaguzi #88Nyeupe https://t.co/dqlxARrNHc