Analyse @FestoNgadaya's tweets
@FestoNgadaya
| 33,132 followers
Thatcher Effect au Eyesmouth-Wrongway hutokea pale ambapo ubongo unashindwa kubaini moja kwa moja sura ya mtu baada ya picha kugeuzwa juu chini.
Pichani unaona sura ya mwanamke mrembo sio? Nikikuambia ubongo wako umekudanganya vipi? Angalia picha inayofuata. #ElimikaWikiendi https://t.co/aiIcIdS8xb
Pichani unaona sura ya mwanamke mrembo sio? Nikikuambia ubongo wako umekudanganya vipi? Angalia picha inayofuata. #ElimikaWikiendi https://t.co/aiIcIdS8xb